Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 1:25 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa maana leo ameteremka, akatoa sadaka ya ng'ombe, vinono na kondoo wengi na amewakaribisha wana wa mfalme, Yoabu jemadari wa jeshi, na kuhani Abiathari, na, tazama, wanakula na kunywa mbele yake, na kusema, ‘Uishi mfalme Adoniya!’

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 1

Mtazamo 1 Wafalme 1:25 katika mazingira