Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 1:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Ametoa sadaka ya ng'ombe, ya vinono, na kondoo wengi, na kuwaita wana wote wa mfalme, kuhani Abiathari, na Yoabu jemadari wa jeshi, lakini mtumishi wako Solomoni hakumkaribisha.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 1

Mtazamo 1 Wafalme 1:19 katika mazingira