Agano la Kale

Agano Jipya

1 Samueli 24:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha Shauli aliwachukua askari 3,000 wateule waliokuwa bora zaidi katika nchi yote ya Israeli, akaenda kumtafuta Daudi na watu wake katika Miamba ya Mbuzimwitu.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 24

Mtazamo 1 Samueli 24:2 katika mazingira