Agano la Kale

Agano Jipya

1 Samueli 13:21-23 Biblia Habari Njema (BHN)

21. Waisraeli walikuwa wanalipa fedha theluthi mbili za shekeli kunoa wembe wa plau na sururu. Na bei ya kunoa shoka au kupata mchokoo ilikuwa theluthi moja ya shekeli.

22. Kwa hiyo siku ya vita hakuna mtu miongoni mwa wote waliokuwa pamoja na Shauli na Yonathani aliyekuwa na upanga au mkuki isipokuwa Shauli na Yonathani mwanawe.

23. Wafilisti walipeleka kikosi cha askari kwenda kulinda njia ya Mikmashi.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 13