Agano la Kale

Agano Jipya

1 Samueli 1:26-28 Biblia Habari Njema (BHN)

26. Hana akamwambia, “Ee bwana wangu, kama iishivyo roho yako, bwana wangu, mimi ndimi yule mwanamke aliyekuwa anasimama mbele yako akimwomba Mwenyezi-Mungu.

27. Nilimwomba anipe mtoto huyu, na yeye alinipa kile nilichomwomba.

28. Kwa sababu hiyo, mimi ninampa Mwenyezi-Mungu mtoto huyu; wakati wote atakapokuwa hai, ametolewa kwa Mwenyezi-Mungu.” Halafu, wakamwabudu Mwenyezi-Mungu hapo.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 1