Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 9:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Jumla, watu 212 walichaguliwa kuwa walinzi wa maingilio ya hekalu. Waliandikishwa kulingana na vijiji walimoishi. Mfalme Daudi na Samueli mwonaji ndio waliowathibitisha katika wadhifa huu muhimu.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 9

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 9:22 katika mazingira