Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 8:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Hawa ndio wazawa wa Ehudi. Hawa walikuwa viongozi wa jamaa za wale waliokuwa wakiishi Geba, lakini wakachukuliwa mateka uhamishoni Manahathi;

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 8

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 8:6 katika mazingira