Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 8:23-34 Biblia Habari Njema (BHN)

23. Abdoni, Zikri, Hanani,

24. Hanania, Elamu, Anthothiya,

25. Ifdeya na Penueli walikuwa wazawa wa Shashaki.

26. Shamsherai, Sheharia, Athalia,

27. Yaareshia, Elia na Zikri walikuwa baadhi ya wazawa wa Yerohamu.

28. Hao ndio waliokuwa wakuu wa koo zao kulingana na vizazi vyao. Walikuwa wakuu na waliishi Yerusalemu.

29. Yeieli, alikuwa mwanzilishi wa mji wa Gibeoni. Mkewe alikuwa Maaka.

30. Mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Abdoni. Wanawe wengine ni Zuri, Kishi, Baali, Nadabu,

31. Gedori, Ahio, Zekeri,

32. na Miklothi baba yake Shimea. Hawa pia waliishi Yerusalemu karibu na watu wengine wa ukoo wao.

33. Neri alimzaa Kishi, Kishi akamzaa Shauli. Shauli alikuwa na wana wanne: Yonathani, Malki-shua, Abinadabu na Eshbaali.

34. Yonathani alimzaa Merib-baali, na Merib-baali akamzaa Mika.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 8