Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 8:13-25 Biblia Habari Njema (BHN)

13. Beria na Shema walikuwa miongoni mwa jamaa ambazo zilikuwa zinaishi katika mji wa Aiyaloni, na kuwafukuza wenyeji wa Gathi.

14. Nao Ahio, Shashaki, Yeremothi,

15. Zebadia, Aradi, Ederi,

16. Mikaeli, Ishpa na Yoha ni wazawa wengine wa Beria.

17. Zebadia, Meshulamu, Hizki, Heberi,

18. Ishnerai, Izlia na Yobabu walikuwa wazawa wa Epaali.

19. Yakimu, Zikri, Zabdi,

20. Elienai, Zilethai, Elieli,

21. Adaya, Beraya na Shimrathi walikuwa wazawa wa Shimei.

22. Ishpani, Eberi, Elieli,

23. Abdoni, Zikri, Hanani,

24. Hanania, Elamu, Anthothiya,

25. Ifdeya na Penueli walikuwa wazawa wa Shashaki.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 8