Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 7:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Bela alikuwa na wana watano: Esboni, Uzi, Uzieli, Yeremothi na Iri. Hawa walikuwa viongozi wa jamaa zao, na wanajeshi mashujaa. Walioandikishwa kwa kufuata koo, idadi ya wazawa wao ilikuwa 22,034.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 7

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 7:7 katika mazingira