Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 7:28 Biblia Habari Njema (BHN)

Milki zao na makao yao yalikuwa: Betheli na vitongoji vyake, Naraani uliokuwa upande wa mashariki, Gezeri uliokuwa upande wa magharibi pamoja na vitongoji vyake, Shekemu na vitongoji vyake, na Aya na vitongoji vyake.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 7

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 7:28 katika mazingira