Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 7:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Zabadi na Shuthela. Mbali na Shuthela, Efraimu alikuwa na wana wengine wawili, Ezeri, na Eleadi, ambao waliuawa na wenyeji wa asili wa nchi ya Gathi kwa sababu walikwenda huko kuwanyanganya mifugo yao.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 7

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 7:21 katika mazingira