Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 7:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Wana wa Tola walikuwa: Uzi, Refaya, Yerieli, Yamai, Ibsamu na Shemueli. Hao walikuwa wakuu wa jamaa za koo za Tola na watu mashujaa sana wa vita nyakati zao. Idadi ya wazawa wao siku za mfalme Daudi ilikuwa 22,600.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 7

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 7:2 katika mazingira