Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 4:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Kulikuwa na mtu mmoja jina lake Yabesi, aliyeheshimiwa kuliko ndugu zake wote. Mama yake alimpa jina la Yabesi kwa sababu alimzaa kwa maumivu.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 4

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 4:9 katika mazingira