Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 4:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Wana wa Shela, mwana wa Yuda, walikuwa Eri, mwanzilishi wa mji wa Leka, Laada, mwanzilishi wa mji Maresha; ukoo wa wafuma nguo za kitani waliokuwa wakiishi katika mji wa Beth-ashbea;

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 4

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 4:21 katika mazingira