Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 4:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Meonothai alimzaa Ofra. Seraya alimzaa Yoabu, mwanzilishi wa Bonde la Mafundi, lililopewa jina hilo kwa sababu wote waliokuwa humo walikuwa mafundi stadi.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 4

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 4:14 katika mazingira