Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 29:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Sisi tu wageni mbele yako, na wasafiri kama walivyokuwa babu zetu wote. Siku zetu duniani ni kama kivuli kipitacho, hapa hakuna tumaini la kukaa.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 29

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 29:15 katika mazingira