Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 27:25 Biblia Habari Njema (BHN)

Aliyesimamia hazina za mfalme Daudi alikuwa Azmawethi mwana wa Adieli. Yonathani mwana wa Uzia alisimamia hazina zilizokuwa mashambani, mijini, vijijini na ngomeni.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 27

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 27:25 katika mazingira