Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 24:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Naye Shemaya mwana wa Nathaneli, mwandishi, aliyekuwa Mlawi, aliwaandika mbele ya mfalme Daudi, maofisa wake, kuhani Sadoki, Ahimeleki mwana wa Abiathari na viongozi wa jamaa za makuhani na za Walawi. Ukoo wa Eleazari ulipata kura mbili, na ukoo wa Ithamari kura moja.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 24

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 24:6 katika mazingira