Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 24:26-31 Biblia Habari Njema (BHN)

26. Wana wa Merari: Mahli, Mushi na Yaazia;

27. wazawa wa Merari kwa mwanawe Yaazia: Shohamu, Zakuri na Ibri.

28. Wana wa Mahli: Eleazari ambaye hakupata mtoto,

29. Kishi ambaye alikuwa na mwana mmoja: Yerameeli.

30. Mushi alikuwa na wana watatu: Mahli, Ederi na Yeremothi. Wao ni wazawa wa Lawi kulingana na koo zao.

31. Pia hao wote walipiga kura kufuatana na ukoo wa kila mkuu na mdogo wake, kama wazawa wa Aroni walivyofanya. Walipiga kura mbele ya mfalme Daudi, Sadoki, Ahimeleki na viongozi wa jamaa za makuhani na za Walawi.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 24