Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 24:24-30 Biblia Habari Njema (BHN)

24. Mmoja wa wana wa Uzieli alikuwa Mika. Mmoja wa wazawa wa Mika alikuwa Shamire.

25. Mmoja wa wazawa wa Ishia nduguye Mika alikuwa Zekaria.

26. Wana wa Merari: Mahli, Mushi na Yaazia;

27. wazawa wa Merari kwa mwanawe Yaazia: Shohamu, Zakuri na Ibri.

28. Wana wa Mahli: Eleazari ambaye hakupata mtoto,

29. Kishi ambaye alikuwa na mwana mmoja: Yerameeli.

30. Mushi alikuwa na wana watatu: Mahli, Ederi na Yeremothi. Wao ni wazawa wa Lawi kulingana na koo zao.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 24