Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 22:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Daudi pia akaweka akiba tele ya chuma cha kutengenezea misumari na mafungo ya malango ya nyumba, na akiba tele ya shaba isiyopimika.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 22

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 22:3 katika mazingira