Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 22:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Sasa, mtumikieni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa nia na moyo wote. Shime basi! Mjengeeni Mwenyezi-Mungu mahali patakatifu ili sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu pamoja na vyombo vyote vitakatifu vitumiwavyo katika ibada, viwekwe ndani ya nyumba iliyojengwa kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu.”

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 22

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 22:19 katika mazingira