Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 21:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Daudi akamwambia Mungu, “Nimetenda dhambi kubwa kwa tendo hili nililolifanya! Lakini nakuomba unisamehe mimi mtumishi wako, kwani nimefanya jambo la kipumbavu kabisa.”

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 21

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 21:8 katika mazingira