Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 21:24 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini mfalme Daudi alimwambia Ornani, “La, hasha; nitavinunua kwa thamani yake kamili; sitamchukulia Mwenyezi-Mungu kitu kilicho chako au kumtolea tambiko za kuteketezwa ambazo hazijanigharimu kitu.”

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 21

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 21:24 katika mazingira