Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 15:18 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha wakawachagua Walawi wafuatao wawe wasaidizi wao kwa kushika nafasi ya pili: Zekaria, Yaasieli, Shemiramothi, Yehieli, Uni, Eliabu, Benaya, Maaseya, Matithia, Elifelehu na Mikneya na walinzi wa lango: Obed-edomu na Yeieli.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 15

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 15:18 katika mazingira