Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 15:16 Biblia Habari Njema (BHN)

Daudi pia aliwaamuru wakuu wa Walawi wachague baadhi ya ndugu zao wawe wakiimba na kupiga ala za muziki: Vinanda, vinubi na matoazi kwa nguvu, ili kutoa sauti za furaha.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 15

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 15:16 katika mazingira