Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 14:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha mfalme Hiramu wa Tiro alituma wajumbe kwa Daudi, pia alimpelekea mierezi, waashi na maseremala, ili wamjengee Daudi ikulu.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 14

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 14:1 katika mazingira