Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 11:41-47 Biblia Habari Njema (BHN)

41. Uria, Mhiti; Zabadi, mwana wa Ahlai;

42. Adina, mwana wa Shiza Mreubeni, mkuu wa Wareubeni, akiwa pamoja na watu thelathini;

43. Hanani, mwana wa Maaka, Yoshafati Mmithni;

44. Uzia Mwashterathi, Shama na Yeieli, wana wa Hothamu Mwaroeri;

45. Yediaeli na Yoha nduguye, wana wa Shimri Mtizi;

46. Elieli Mmahawi, Yeribai na Yoshavia wana wa Elnaamu; Ithma Mmoabu;

47. Elieli, Obedi, na Yaasieli Mmesobai.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 11