33. Azmawethi Mbaharumu; Eliaba Mshaalboni;
34. wana wa Yasheni Mgiloni; Yonathani, mwana wa Shagee Mharari,
35. Ahiamu, mwana wa Sakari Mharari; Elifali, mwana wa Uri;
36. Heferi Mmekerathi; Ahiya Mpeloni;
37. Hezro Mkarmeli; Naarai, mwana wa Ezbai;
38. Yoeli, nduguye Nathani; Mibhari, mwana wa Hagri;
39. Zeleki Mwamoni; Naharai Mbeerothi, aliyekuwa mbeba silaha wa Yoabu, mwana wa Seruya;
40. Ira na Garebu, waliokuwa Waithri,
41. Uria, Mhiti; Zabadi, mwana wa Ahlai;
42. Adina, mwana wa Shiza Mreubeni, mkuu wa Wareubeni, akiwa pamoja na watu thelathini;
43. Hanani, mwana wa Maaka, Yoshafati Mmithni;