Agano la Kale

Agano Jipya

1 Mambo Ya Nyakati 11:23 Biblia Habari Njema (BHN)

Vilevile, alimuua Mmisri mmoja, mtu mrefu sana, urefu wake kama mita mbili, naye mkononi mwake alikuwa amebeba mkuki mkubwa sana, kama mti wa mfumaji. Lakini Benaya alimwendea akiwa na fimbo tu, akamnyanganya mkuki huo, na kumuua Mmisri huyo kwa mkuki wake mwenyewe.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 11

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 11:23 katika mazingira