Agano la Kale

Agano Jipya

Yuda 1:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Hata Mikaeli, malaika mkuu, hakufanya hivyo. Katika ule ubishi kati yake na Ibilisi juu ya mwili wa Mose, Mikaeli hakuthubutu kumhukumu Ibilisi kwa matusi, ila alisema: “Bwana mwenyewe na akukaripie.”

Kusoma sura kamili Yuda 1

Mtazamo Yuda 1:9 katika mazingira