Agano la Kale

Agano Jipya

Yuda 1:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Ole wao! Watu hao wamefuata mwenendo uleule wa Kaini. Kwa ajili ya fedha, wamejiingiza katika mkosi uleule wa Balaamu. Wameasi kama Kora alivyoasi na wameangamizwa kama yeye alivyoangamizwa.

Kusoma sura kamili Yuda 1

Mtazamo Yuda 1:11 katika mazingira