Agano la Kale

Agano Jipya

Yuda 1:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Mimi Yuda, mtumishi wa Yesu Kristo na ndugu yake Yakobo, nawaandikia nyinyi mlioitwa na Mungu na ambao mnapendwa naye Mungu Baba, na kuwekwa salama kwa ajili ya Yesu Kristo.

Kusoma sura kamili Yuda 1

Mtazamo Yuda 1:1 katika mazingira