Agano la Kale

Agano Jipya

Yakobo 3:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Je, ni nani mwenye hekima na akili miongoni mwenu? Basi, aoneshe jambo hilo kwa mwenendo wake mzuri na kwa matendo yake mema yanayofanyika kwa unyenyekevu na hekima.

Kusoma sura kamili Yakobo 3

Mtazamo Yakobo 3:13 katika mazingira