Agano la Kale

Agano Jipya

Yakobo 1:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Jua huchomoza na kwa joto lake kali hukausha mimea, nayo maua yake huanguka, na uzuri wake wote huharibika. Vivyo hivyo, tajiri ataangamizwa katika shughuli zake.

Kusoma sura kamili Yakobo 1

Mtazamo Yakobo 1:11 katika mazingira