Agano la Kale

Agano Jipya

Wakolosai 2:19-21 Biblia Habari Njema (BHN)

19. na amejitenga na Kristo aliye kichwa cha huo mwili. Chini ya uongozi wa Kristo, mwili wote unalishwa na kuunganishwa pamoja kwa viungo na mishipa yake, nao hukua kama atakavyo Mungu.

20. Nyinyi mmekufa pamoja na Kristo na kukombolewa katika nguvu za pepo watawala wa ulimwengu. Kwa nini, basi, kuishi tena kama vile mngekuwa wa ulimwengu huu? Ya nini kuwekewa masharti:

21. “Msishike hiki,” “Msionje kile,” “Msiguse kile!”

Kusoma sura kamili Wakolosai 2