Agano la Kale

Agano Jipya

Wagalatia 3:28-29 Biblia Habari Njema (BHN)

28. Hivyo, hakuna tena tofauti kati ya Myahudi na Mgiriki, mtumwa na mtu huru, mwanamume na mwanamke. Nyote ni kitu kimoja kwa kuungana na Kristo Yesu.

29. Ikiwa nyinyi ni wa Kristo, basi ni wazawa wa Abrahamu, na mtapokea yale aliyoahidi Mungu.

Kusoma sura kamili Wagalatia 3