Agano la Kale

Agano Jipya

Wafilipi 4:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Nyinyi Wafilipi mwafahamu wenyewe kwamba mwanzoni mwa kuhubiri Habari Njema, nilipokuwa naondoka Makedonia, nyinyi peke yenu ndio kanisa lililonisaidia; nyinyi peke yenu ndio mlioshirikiana nami katika kupokea na kuwapa wengine mahitaji.

Kusoma sura kamili Wafilipi 4

Mtazamo Wafilipi 4:15 katika mazingira