Agano la Kale

Agano Jipya

Waebrania 9:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Kutokana na taratibu hizo Roho Mtakatifu anafundisha wazi kwamba wakati ile hema ya nje ingali ipo imesimama, njia ya kuingia Mahali Patakatifu sana haijafunguliwa.

Kusoma sura kamili Waebrania 9

Mtazamo Waebrania 9:8 katika mazingira