Agano la Kale

Agano Jipya

Waebrania 9:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Hivyo yeye ni mpatanishi wa agano jipya ambamo wale walioitwa na Mungu wanaweza kupokea baraka za milele walizoahidiwa. Kifo chake huwakomboa watu kutoka yale makosa waliyofanya wakati wa lile agano la kale.

Kusoma sura kamili Waebrania 9

Mtazamo Waebrania 9:15 katika mazingira