Agano la Kale

Agano Jipya

Ufunuo 4:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Viumbe hao wanne walikuwa na mabawa sita kila mmoja, na walikuwa wamejaa macho, ndani na nje. Usiku na mchana, bila kupumzika, huimba:“Mtakatifu, mtakatifu, mtakatifu,Bwana, Mungu Mwenye Nguvu,aliyekuwako, aliyeko na anayekuja!”

Kusoma sura kamili Ufunuo 4

Mtazamo Ufunuo 4:8 katika mazingira