Agano la Kale

Agano Jipya

Ufunuo 22:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Mto huo ulitiririka kupitia katikati ya barabara kuu ya mji. Kandokando ya mto huo kulikuwa na mti wa uhai unaozaa matunda mara kumi na mbili kwa mwaka, yaani kila mwezi; na majani yake ni dawa ya kuwaponya watu wa mataifa.

Kusoma sura kamili Ufunuo 22

Mtazamo Ufunuo 22:2 katika mazingira