Agano la Kale

Agano Jipya

Ufunuo 2:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini ninayo machache dhidi yako: Baadhi yenu ni wafuasi wa Balaamu aliyemfundisha Balaki kuwatega wana wa Israeli wale vyakula vilivyotambikiwa sanamu na kufanya uzinzi.

Kusoma sura kamili Ufunuo 2

Mtazamo Ufunuo 2:14 katika mazingira