Agano la Kale

Agano Jipya

Ufunuo 2:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Usiogope hata kidogo yale ambayo itakulazimu kuteseka. Sikiliza! Ibilisi anataka kuwajaribu kwa kuwatia baadhi yenu gerezani; nanyi mtapata dhiki kwa muda wa siku kumi. Muwe waaminifu hata mpaka kufa, nami nitawapeni taji ya uhai.

Kusoma sura kamili Ufunuo 2

Mtazamo Ufunuo 2:10 katika mazingira