Agano la Kale

Agano Jipya

Ufunuo 18:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Sauti za vinubi za muziki, sauti za wapiga filimbi na tarumbeta hazitasikika tena ndani yako. Hakuna fundi wa namna yoyote ile atakayepatikana tena ndani yako; wala sauti ya jiwe la kusagia haitasikika tena ndani yako.

Kusoma sura kamili Ufunuo 18

Mtazamo Ufunuo 18:22 katika mazingira