Agano la Kale

Agano Jipya

Ufunuo 16:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Mvua ya mawe makubwa yenye uzito wa kama kilo hamsini kila moja, ikawanyeshea watu. Nao wakamtukana Mungu kwa sababu ya mapigo ya mvua hiyo ya mawe. Naam, pigo la mvua hiyo ya mawe lilikuwa kubwa mno.

Kusoma sura kamili Ufunuo 16

Mtazamo Ufunuo 16:21 katika mazingira