Agano la Kale

Agano Jipya

Tito 2:1-4 Biblia Habari Njema (BHN)

1. Lakini wewe unapaswa kuhubiri mafundisho sahihi.

2. Waambie wanaume wazee kwamba wanapaswa kuwa na kiasi, wawe na busara na wataratibu; wanapaswa kuwa timamu katika imani yao, upendo na uvumilivu.

3. Hali kadhalika waambie wanawake wazee wawe na mwenendo wa uchaji wa Mungu; wasiwe wachongezi au watumwa wa pombe. Wanapaswa kufundisha mambo mema,

4. ili wawazoezeshe kina mama vijana kuwapenda waume zao na watoto,

Kusoma sura kamili Tito 2