Agano la Kale

Agano Jipya

Mathayo 19:1-3 Biblia Habari Njema (BHN)

1. Yesu alipomaliza kusema maneno hayo, alitoka Galilaya, akaenda Yudea, ngambo ya mto Yordani.

2. Watu wengi walimfuata huko, naye akawaponya.

3. Mafarisayo kadhaa walimjia, wakamwuliza kwa kumtega, “Je, ni halali mume kumpa talaka mkewe kwa kisa chochote?”

Kusoma sura kamili Mathayo 19