Agano la Kale

Agano Jipya

Mathayo 11:23 Biblia Habari Njema (BHN)

Na wewe Kafarnaumu, je, utajikweza mpaka mbinguni? Utaporomoshwa mpaka kuzimu! Maana, kama miujiza iliyofanyika kwako ingalifanyika kule Sodoma, mji huo ungalikuwako mpaka hivi leo.

Kusoma sura kamili Mathayo 11

Mtazamo Mathayo 11:23 katika mazingira